Bonyeza Hapa ili kuweka programu ya SmartGD kwenye simu yako,
Baada ya kubonyeza kiunganishi hapo juu, ujumbe wa kuweka utatokea chini ya ukurasa,
Tafadhali subiri kwa muda usiozidi dakika 2, itategemeana na muunganiko wa intaneti yako.
Kisha bonyeza ujumbe ulioandikwa "Add SmartGD to Home screen" ili kuweka programu ya SmartGD kwenye simu yako.